LIVERPOOL YAUA 5-0, NYOTA MPYA ATUPIA (PICHA)
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia goli lao la kwanza ndani ya uwanja wa Highbury Stadium
Marko Grujic amefunga goli wakati timu yake ya Liverpool ikishinda 5-0 dhadi ya Fleetwood katika mtanange wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo ikiwa ni moja ya maandalizi ya msimu ujao.


Ben Woodburn, 16, alifunga bao la pili kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika na baadae wakafuatia Lucas na Roberto Firmino ambaye ametupia mabao mawili na kuwafanya vijogoo hao kuondoka na ushindi wa kishindo Danny Ings alikosa penalti kipindi cha kwanza mara baada ya Saido Mane kudondoshwa
Maoni
Chapisha Maoni