LAMPARD: TUNAHITAJI KOCHA MZOEFU

Frank Lampard gained 106 caps and scored 29 goals in 15 years with England


Frank Lampard ametwaa vikombe 106 huku akitupia mabao 29 ndani ya miaka 15 akiwa na timu yake ya taifa ya Uingereza
Lampard is one of a number of ex-England players sought out by the FA for advice
Frank Lampard
Frank Lampard amekishauri chama cha soka Uingereza FA kumchukua kocha mzoefu ambaye ataisaidia timu kupata mafanikio haraka.
Kiungo huyo wa zamani wa klabu ya Chelsea, Manchester City  na timu ya taifa ya Uingereza ni moja ya wachezaji ambao wameitwa na kamati ya ufundi ya FA ikiongozwa na  Dan Ashworth mara tu baada ya taifa hilo kutia aibu katika michuano ya Euro 2016.
Lampard, ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya MLS ya New York City, amesema kuwa anaimani na Ashworth na anaona anamtazamo wa mbali hivyo anaamini atafanya maamuzi sahihi
Frank Lampard believes Harry Redknapp would be a good fit
Harry Redknapp

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii