WALES VS BELGIUM - ROBO FAINALI YA PILI LEO




Robo fainali ambayo inasubiliwa kwa hamu katika michuano ya Euro 2016 ni hii ya leo ambapo Wales watajitupa uwanjani kuvaana na Belgium, ambayo ni timu inayoogopwa zaidi barani Ulaya.

Eden Hazard has not trained this week due to a knock
Eden Hazard Nahodha wa timu ya Ubelgiji akishangilia goli dhidi ya Hungary
Marc Wilmots kikosi chake katika viwango vya FIFA kinapitw na Argentina pekee, na kutokana na changamoto alizozipata katika mechi ya kwanza ambapo alichapwa na Italy 2-0 ameonesha kubadilika siku hadi siku katika michuano hiyo ya Euro 2016.
Wales captain Williams has recovered from a shoulder injury
Nahodha wa Wales Williams akifanya mazoezi baada ya kupata nafuu ya goti
Magoli nane kwa bila ndani ya mechi tatu iliyopshinda yanawapa nguvu Ubelgiji ya kuweza kushinda mechi ya leo.    Lakini pia Wales ambao walitwaa pointi nne za Belgium katika hatua ya kufuzu kucheza michuano hiyo huenda ikawasaidia kuendelea kuandika historia katika kuwania ubingwa wa michuano hiyo.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii