RAIS WA URENO AWAPOKEA KIFALME WACHEZAJI
Maelfu ya mashabiki wa timu hiyo walikusanyika katika uwanja wa ndege

Nahodha wa timu hiyo Cristiano Ronaldo alilipeleka kombe hilo kwenye kasri ya Rais kabla ya kuanza kulitembeza katika mitaa ya jiji la Lisbon wakiwa katika gari la wazi.
Wametajwa kama mashujaa wa nchi hiyo.

Mjini Paris Francois Hollande alikutana na timu ya Ufaransa iliyoshika nafasi ya pili kwenye kasri yake ya Elysee.
Maoni
Chapisha Maoni