MANCHESTER UNITED YAWATEMA NYOTA WAWILI(PICHA)
Guillermo Varela hayupo kwenye mipango ya Jose Mourinho Old Trafford
Tyler Blackett na Guillermo
Varela wapo tayali kwa kuuzwa na Manchester United baada ya Jose Mourinho
kusema hawana mchango wowote pale Old Trafford
, chanzo cha Sky kinathibitisha.
, chanzo cha Sky kinathibitisha.
Si Blackett, ambaye ni beki wa kati, wala Varela, ambaye ni beki wa pembeni ambao wamekuwa wakifanya mazoezi na kikosi cha United hii ni dalili ya wazi kwamba hawapo kwenye mipango ya baadae ya Mourinho
Maoni
Chapisha Maoni