SAM ALLARDYCE KUWANIA UKOCHA ENGLAND
Bossi wa Sunderland Sam Allardyce anafanyiwa mahojiano kwaajili ya kuwa kocha wa Uingereza
Sunderland wame shtushwa baada ya Sam Allardyce kusikia kuwa anafanya mahojiano ili kuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza akiwa nyumbani kwa mwenyekiti msaidizi wa chama cha soka cha Uingereza FA, David Gill jumanne hii.
Allardyce amerudi Uingereza akitokea Australia ambako timu yake ya Sunderland imeweka kambi kwaajili ya maandalizi ya ligi msimu ujao, na ujio huo ilikuwa ni kwaajili ya kukutana na Gill, FA technical director Dan
Ashworth na chief executive Martin Glenn.
Maoni
Chapisha Maoni