Karibu upate habari za michezo ya aina zote kwa haraka na uhakika. Utapata habari za soka, mpira wa kikapu, Tennis, mpira wa pete, masumbwi, mashindano ya magari, riadha na michezo mingine. Hapa utapata matokeo ya mechi mbalimbali, taarifa za wachezaji na timu zao.
UFARANSA YAIUA UJERUMANI 2-0 YATINGA FAINALI (PICHA)
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Antoine Griezmann amezama wavuni mara mbili hivyo kuifanya ufaransa kutinga fainali katika michuano ya Euro 2016
Antione Griezman ameipatia ushindi wa 2-0 Ufaransa dhidi ya Ujerumani na hivyo kufanya ufaransa kukutana na Ureno kwenye fainali siku ya jumapili baada ya Ureno kuifunga Wales jana kwa goli la Ronaldo la dk 5o na lile la Luis Nani la dk 53.
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha Sky kimeripoti
Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba alikataa kuichezea Montreal Impact baada ya kuambiwa hataanzishwa dhidi ya Toronto ,kulingana na kocha Mauro Biello
Maoni
Chapisha Maoni