Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2016

MOURINHO KULA CHAKULA CHA PAMOJA NA WENGER

Picha
Jose Mourinho amesema hana tatizo na Arsene Wenger licha ya kuchapishwa kwa kitabu kinacho mnukuu yeye akisema kuwa "nitaiharibu sura yake"  "break his face". Meneja huyu wa Manchester United wamekuwa na upinzani wa siku nyingi na

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 24, 2016

Picha
Ikiwa leo ni Septemba 24, 2016 hizi hapa ni habari zilizo andikwa kwenye magazeti mbambali ya leo zikibebwa na habar kubwa inayosema Lowassa azua balaa, Viongozi wa dini wairuka UKAWA.

MWANASOKA WA SIERRA LEONE,'BAH' AFARIKI DUNIA

Picha
Aliyekuwa mwanasoka wa kimataifa, raia wa Sierra Leone, Mamadu Alphajor Bah amefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyofanyika karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Freetown

MAN UNITED KUVAANA NA MAN CITY KOMBE LA LIGI

Picha
Klabu ya Manchester United na Manchester City watakutana katika roundi ya nne katika kombe la Ligi ya Uingereza (EPL) uwanjaini Old Trafford. United waliibuka na ushindi wa mabao matatu kwa

DANGOTE KUINUNUA ARSENAL

Picha
Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani Afrika,ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne.Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya dola bilioni 10.9,

MAYWEATHER AVUNJA PAMBANO

Picha
Bondia mstaafu Floyd Mayweather amesema kuwa pigano kati yake na mpiganaji Conor Mc Gregor halitofanyika. Bingwa huyo wa zamani wa mizani mitano tofauti ,mwenye umri wa miaka 39 alisema

GUARDIOLA WATAMBIANA NA YAYA TOURE

Picha
Meneja wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema kuwa hatomchezesha tena Yaya Toure hadi atakapoomba msamaha kwa klabu hiyo na wachezaji wenzake kutokana na matamshi ya

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 21, 2016

Picha
Ikiwa leo ni Septemba 21, 2016 magazeti ya leo yamekuja na habari kadha wa kadha ikiwemo ile ya Ajali mbaya, mwamuzi kiboko apewa Yanga vs Simba na kwenye burudani Alikiba Helikopta Diamond

MATOKEO FA: ARSENAL, CHELSEA ZASHINDA 4, LIVERPOOL 3

Picha
Liverpool imefanikiwa kuingia hatua ya mzunguko wa nne kwenye kombe la EFL baada ya kutoa kipigo cha 3-0 kwa Derby County. Jurgen Klopp alionekana kuwa

MECHI ZA LEO; EFL, SERIE A, LALIGA NA BONDESLIGA: LEICESTER vs CHELSEA(MECHI KALI)

Picha
Kasper Schmeichel leo atakuwa nje wakati timu yake ya Leicester City itakapo kuwa ikipapatuana vikali na klabu ya Chelsea zikiwa ni mbio za kuwania kombe la EFL

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 20, 2016

Picha
Ikiwa leo ni Septemba 20, 2016 hizi hapa ni habari zilizoandikwa kwenye magazeti mbalimbali zikiongozwa na vichwa vya habari visemavyo; Majonzi BUKOBA,wadaiwa vyuo vikuu kukiona, Zitto Kafulila wamtwisha Magufuli mzigo wa Escrow

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 19, 2016

Picha
Ikiwa leo ni Septemba 19 2016 soma hapa magazeti ya siasa, uchumi, michezo na bururdani yakiwa yanaongozwa na vichwa vya habari visemavyo; Mbowe amtaka JPM kuwafariji Kagera, TANESCO kulipa Billioni 320 

MOURINHO: MOTISHA YA MAN UNITED IMEPUNGUA

Picha
Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa wachezaji wake wanafaa kujizatiti wakati maamuzi yanapofanywa dhidi yao baada ya kushindwa 3-1 na Watford ,na hivyo

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 18, 2016

Picha
Ikiwa leo ni Septemba 18, 2016 nakuletea habari mbali mbali zilizoandikwa kwenye magazeti ya leo, habari kubwa zilizochukua uzito wa juu ni pamoja na ile ya Mikoa 10 hatarini kwa tetemeko na kwenye michezo ni Simba na Yanga kushinda mechi zao

MATOKEO EPL: MAN CITY, ARSENAL, LEICESTER ZASHINDA

Picha
 Manchester City ikiwa nyumbani katika uwanja wa Etihad ilifanikiwa kuibamiza Bournemouth jumla ya mabao 4-0 na hivyo kudhihirisha kwamba ipo vizuri kwa asilimia 100 katika mechi za mwanzo wa msimu

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 17, 2016

Picha
Ikiwa leo ni Septemba 17, 2016 hizi ni habari zilizoandikwa kwenye magazeti ya kuaminika; moja ya habari ambayo utapata kuisoma ni ile ya Uhai wa bunge sasa mikononi mwa JPM, Waathirika BUKOBA kupata neema, Afisa upelelezi aliyehukumiwa kifungo cha hadi kufa na kwenye michezo ni ile mechi kali ya leo ya AZAM vs SIMBA

LIVERPOOL YAISULUBISHA CHELSEA, YAIPIGA KWAO

Picha
Jordan Henderson alifunga goli la msimu usiku wa leo wakati Liverpool ikiicharaza Chelsea 2-1 katika dimba la Stamford Bridge. Kikosi cha Jurgen Klopp kilionekana kuwa na nguvu zaidi kipindi cha kwanza ambapo

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 16, 2016

Picha
Leo ni Septemba 16, 2016 haya ni magazeti ya leo ambayo yamekuja na habari mbali mbali lakini habari kubwa ni ile ya Madereva wa Tanzania kutekwa Kongo na ile ya CCM kupigana

ANDY MURRAY KUPAMBANA NA JUAN DEL POTRO DEVIS CUP

Picha
Andy Murray ambaye anashikilia namba mbili kwa ubora duniani atacheza na aliyekuwa bingwa wa michuano ya wazi ya Marekani Juan Martin del Potro ikiwa ni mchezo kwanza wa kombe la Devis katika hatua ya

MATOKEO EUROPA: MAN UTD YACHEZEA KICHAPO

Picha
Michuano ya UEFA ndogo au EUROPA imeanza katika hatua ya makundi, mechi 24 zimechezwa ambapo Manchester United ikiwa ugenini ilipokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi

SADIO MANE AMEONESHA UWEZO CHINI YA JURGEN KLOPP??

Picha
Sadio Mane joined Liverpool in a deal that could rise to £36m Liverpool's deal for Sadio Mane was questioned in some quarters, but he has made an immediate impact following his arrival from Southampton. Ahead of the Reds' Friday Night Football clash with Chelsea, we examine his impressive start to life under Jurgen Klopp…

WADUKUZI WA URUSI WAFICHUA FAILI ZAIDI ZA WADA

Picha
Wadukuzi wanaoaminika kutoka Urusi wametoa faili zaidi ya wanariadha zilizoibwa kutoka kwa mamlaka kuu duniani ya kudhibiti utumiaji wa dawa za kusisimua misuli miongoni mwa wanariadha (Wada)

DAVID LUIZ KUCHEZA MECHI DHIDI YA LIVERPOOL

Picha
  K ocha wa Chelsea Antonio Conte, amethibitisha kuwa David Luiz atarudi uwanjani akiwa na kikosi cha Chelsea kwa mara ya pili katika mechi dhidi ya Liverpool usiku wa kesho

MATOKEO UEFA..RONALDO ATUPIA, AGUERO APIGA 3

Picha
Ligi ya klabu bingwa barani ulaya imeendelea kutimua vumbi usiku wa kuamkia leo ambapo kulikuwa na michezo tisa ikipigwa katika viwanja tofauti. Manchester City wakiwa nyumbani wameibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Borussia Moenchengladbach

SOMA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 15, 2016

Picha
 Leo ni September 15, 2016 ambapo katika magazeti ya leo kuna habari mbalimbali za siasa, uchumi, jamii na michezo pamoja na burudani. Habari kuu ambayo imeandikwa kwenye magazeti mengi ni ile inayohusu hofu ya kupanda kwa gharama ya maisha pamoja na mjadala wa uchumi wa nchi

AZAM NA SIMBA KUPIGWA SHAMBA LA BIBI JUMAMOSI

Picha
MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumamosi Septemba 17, 2016 kama ilivyopangwa awali. Ila mchezo huo utafanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam badala ya Uwanja wa Taifa

RAIS MPYA WA UEFA HUYU HAPA

Picha
Aleksander Ceferin has been elected as the new president of UEFA after winning the necessary number of pledges at the governing body's congress in Athens. Ceferin, the head of the Slovenian Football Association, was elected ahead of his only rival, Dutchman Michael van Praag, after winning 42 pledges - 14 more than the 28 vote majority needed.

MATOKEO UEFA

Picha
  Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake kwani mafahali walikuwa wakipambana katika viwanja mbalimbali lakini kwa upande wa mtanange wa PSG vs Arsenal palikuwa hapatoshi kwani Alexis Sanchez aliwasaidia Arsenal kuondoka

POLENI MASHABIKI WA CHELSEA: TERRY OUT VS LIVERPOOL

Picha
John Terry aliondoka uwanjani Liberty Stadium siku ya Jumapili akiwa anachechemea mguu John Terry atakosekana kwenye kikosi cha Chelsea usiku wa Jumatano ambapo watakuwa nyumbani kuikaribisha  Liverpool baada ya kuumia mishipa ya mguu wake na hivyo atakuwa nje kwa siku 10.

USIKU WA UEFA LEO RATIBA YOTE HII HAPA

Picha
Kile tulichokuwa tukikisubilia leo kimetimia, kama ulisema utajipanga kesho basi imekula kwako kwani leo rasmi katika hatua ya makundi pazia linafunguliwa ambapotakribani timu 16 zitajitupa viwanjani kusaka pointi 3,

EVERTON YAIDIDIMIZA SUNDERLAND BAO 3-0

Picha
  Usiku wa jana klabu ya Everton katika harakati za kujiweka vizuri raundi hii ya nne i li fanikiwa kuwanyuka waponea chupu chupu Sunderland FC kwa jumla ya mabao 3-0

KIPI USICHOKIJUA EPL KWA SASA?? ANGALIA HAPA KILA KITU

Picha
LIGI KUU UINGEREZA Muonekano wa Ratiba ya Ligi ya Uingereza kuanzia tar 12 - 18 Sep 2016 JUMA TATU, Sep 12 2016 20:00 FT Sunderland 0 : 3 Everton  IJUMAA, Sep 16 2016 20:00 Chelsea vs Liverpool 1

MSIMAMO EPL KWA MECHI 4

Picha
Nafasi nne za juu ni Manchester City pointi 12, Chelsea pointi 10, Everton pointi 10 na Manchester United wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 9

MAN UTD VS MAN CITY WEEKEND HII

Picha
  Mashetani wekundu Manchester United kesho majira ya saa 8:30 mchana watakuwa na kibarua kizito kukabiliana na watani wao wa jadi Manchester City katika uwanja wa Old Trafford.