MATOKEO EUROPA: MAN UTD YACHEZEA KICHAPO

Paul Pogba (right) played the full 90 minutesMichuano ya UEFA ndogo au EUROPA imeanza katika hatua ya makundi, mechi 24 zimechezwa ambapo Manchester United ikiwa ugenini ilipokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi
.

Chris Smalling (left) and Paul Pogba look on as Feyenoord celebrate
Pogba licha ya kucheza dk 90 lakini bado alishindwa kuiokoa timu yake
 Na klabu ya Genk ya ubelgiji anayochezea Mbwana samata pia ikiwa ugenini imepokea kichapo cha magoli 3-2 dhidi ya
Mbwana Samata alitolewa kwenye Dk ya 78 na nafasi yake kuchukuliwa na Nikos Karelis.

Matokeo mengine 

AZ Alkmaar 1 Dundalk 1
Southampton 3 Sparta Prague 0
FK Qarabag 2 Slovan Liberec 2
Sassuolo 3 Ath Bilbao 0
Viktoria Plzen 1 Roma 1
Astra Giurgiu 2 FK Austria Vienna 3
M'bi Tel-Aviv 3 Zenit St P 4
Apoel Nic 2 FC Astana 1
BSC Young Boys 0 Olympiakos 1
FSV Mainz 05 1 Saint-Étienne 1

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii