MATOKEO FA: ARSENAL, CHELSEA ZASHINDA 4, LIVERPOOL 3

Philippe Coutinho of Liverpool celebrates scoring his team's second goal with Roberto Firmino
Liverpool imefanikiwa kuingia hatua ya mzunguko wa nne kwenye kombe la EFL baada ya kutoa kipigo cha 3-0 kwa Derby County.
Jurgen Klopp alionekana kuwa
mtu mwenye furaha na kujiamini tangu pale siku ya Ijumaa alipo ifunga Chelsea na bado ameendelea kushinda, Goli la kwanza la Liverpool lilifungwa na Ragnar Klavan katika kipindi cha kwanza likifuatiwa na magoli ya Philippe Coutinho na Divock Origi 
Matokeo ya mechi nyingine ni yale ya mechi ya siku kati ya Leicester City dhidi ya Chelsea ambapo Chelsea wakitoka nyuma kwa magoli mawili yaliyotiwa kimyani na Okazaki mnamo kipindi cha kwanza, walisawazisha kupitia magoli ya Cahil na azipilicueta na katika muda wa nyongeza Cezs Fabregas akaongeza mawili na kuifanya Chelsea iibuke na ushindi wa 4-2Cesc Fabregas of Chelsea celebrates scoring his side's fourth goal
Arsenal wakiwa ugenini waliitungua Nottingham Forest jumla ya mabao 4-0, mabao yalifungwa na Xhaka,Perez mawili na ChamberlainArsenal celebrate Xhaka's goal.
Everton walitupwa nje baada ya kuchezea kipigo cha bao 2-0 dhidi ya Norwich City, magoli yalitiwa kambani na Naismith dk 41 na Murphy mnamo dakika 74Josh Murphy scored a stunner at Goodison Park

MATOKEO MENGINE FA
 Bournemouth 2 - 3 Preston North End
Brighton & Hove Albion 1 - 2 Reading
Leeds United 1 - 0 Blackburn Rovers
Newcastle United 2 - 0 Wolverhampton WandererS

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii