MOURINHO KULA CHAKULA CHA PAMOJA NA WENGER

Jose Mourinho amesema hana tatizo na Arsene Wenger licha ya kuchapishwa kwa kitabu kinacho mnukuu yeye akisema kuwa "nitaiharibu sura yake"  "break his face". Meneja huyu wa Manchester United wamekuwa na upinzani wa siku nyingi na
mfaransa, upinzani na chuki hizo zilianza  Jose alipokuwa akikinoa kikosi cha Chelsea na bndipo alipomwambia bossi huyo wa Arsenal kuwa ni mtun wa kufeli "specialist in failure".

Usemi huo kutoka kwa Jose Mourinho: Ulitolewa pale alipokutana na mwandishi wa habari Rob Beasley, kumuuliza kutokana na maneno ya Wenger ya kwamba hawezi kusoma kitabu cha Mourinho.

Wenger amesema kuwa hatilii maanani tuhuma zilizoandikwa kwenye kitabu kipya cha Jose Mourinho kwamba alitaka kuiharibu sura yake "break his face"
"Nilikutana na Arsene Wenger wiki kadhaa zilizopita, kama watu wa kawaida tulipeana mikono, tuka kaa meza moja na tukala chakula cha jioni pamoja tukiwa na watu wengine.

"Tulibadilishana mawazo, tulikuwa tunaongea kwani sisi ni watu wa staarabu. Na pia si dhani kama kitabu kitakuwa kwanye nyumba ya sanaa na sehemu nyingine zinazofanana na hiyo.
"Si wezi kubisha lakini lilikuwa ni neno langu la kwanza na la mwisho, na pia narudia kuwa yeye anatengeneza hela zake na hivyo ni kitu chema kwangu." 

Mourinho says he had a "civilised dinner" with Wenger recently
Mourinho amesema ataandaa chakula cha jioni wale pamoja na Wenger hivi karibuni.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii