Karibu upate habari za michezo ya aina zote kwa haraka na uhakika. Utapata habari za soka, mpira wa kikapu, Tennis, mpira wa pete, masumbwi, mashindano ya magari, riadha na michezo mingine. Hapa utapata matokeo ya mechi mbalimbali, taarifa za wachezaji na timu zao.
MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 16, 2016
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Leo ni Septemba 16, 2016 haya ni magazeti ya leo ambayo yamekuja na habari mbali mbali lakini habari kubwa ni ile ya Madereva wa Tanzania kutekwa Kongo na ile ya CCM kupigana
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha Sky kimeripoti
Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba alikataa kuichezea Montreal Impact baada ya kuambiwa hataanzishwa dhidi ya Toronto ,kulingana na kocha Mauro Biello
Maoni
Chapisha Maoni