MAN UTD VS MAN CITY WEEKEND HII

 Image result for man utd vs man city 2016
Mashetani wekundu Manchester United kesho majira ya saa 8:30 mchana watakuwa na kibarua kizito kukabiliana na watani wao wa jadi Manchester City katika uwanja wa Old Trafford.

Manchester Utd wanawaalika ndugu zao ikiwa timu zote mbili kwa sasa katika mechi tatu walizo cheza kwenye ligi kuu England wameshinda na kwenye msimamo wanatofautiana tu magoli ya kufunga na kufungwa, kwani Man city inashika nafasi ya kwanza huku watani wao Man utd wakishika nafasi ya tatu.
Mechi zingine hapo kesho ni Arsenal vs so'ton, b'mouth vs w Brom, Burnley vs Hull City, West ham vs watford, M'boro vs C Palace na Stoke vs Tottenham zote majira ya saa 11:00 jioni huku mechi nyingine isiyo ya kukosa ni ile ya saa 1:30 ambapo Liverpool wataikaribisha Leicester.

Hii ni tathmini ya mechi 6 ambazo timu hizi zimecheza katika mashindano tofauti tofauti 

Man Utd last 6


27/08/2016 Premier League

1 - 0 v Hull City (a)


19/08/2016 Premier League

2 - 0 v So'ton (h)


14/08/2016 Premier League

3 - 1 v B'mouth (a)


07/08/2016 FA Community Shield

2 - 1 v Leicester (a)

30/07/2016 Friendly Match

5 - 2 v Galatasaray (h)

22/07/2016 International Champions Cup

1 - 4 v B Dortmund (h)

 

Man City last 6


28/08/2016 Premier League

3 - 1 v West Ham (h)


24/08/2016 UEFA Champions League Qualifying Play-Offs Round

1 - 0 v S Bucuresti (h)


20/08/2016 Premier League

4 - 1 v Stoke (a)


16/08/2016 UEFA Champions League Qualifying Play-Offs Round

5 - 0 v S Bucuresti (a)


13/08/2016 Premier League

2 - 1 v S'land (h)

07/08/2016 Friendly Match

2 - 3 v Arsenal (a)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii