Karibu upate habari za michezo ya aina zote kwa haraka na uhakika. Utapata habari za soka, mpira wa kikapu, Tennis, mpira wa pete, masumbwi, mashindano ya magari, riadha na michezo mingine. Hapa utapata matokeo ya mechi mbalimbali, taarifa za wachezaji na timu zao.
POLENI MASHABIKI WA CHELSEA: TERRY OUT VS LIVERPOOL
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
John Terry atakosekana kwenye kikosi cha Chelsea usiku wa Jumatano ambapo watakuwa nyumbani kuikaribisha Liverpool baada ya kuumia mishipa ya mguu wake na hivyo atakuwa nje kwa siku 10.
Terry, 35, waligongana na mchezaji wa Swansea Leroy Fer katika dakika za mwisho ambapo Chelsea walisawazisha na kufanya matokeo kuwa 2-2 katika uwanja wa Liberty Stadium ukiwa ni mchezo wa nne kwenye ligi kuu ya England na kwa sasa madaktari wa timu wamethibitisha majeraha hayo.
Chelsea vs Liverpool
Septemba 16, 2016, 6:30pm
Itaonyeshwa Live kupitia
Katika akaunti yake ya Instagram, Terry ameandika: "Nina tatizo la kuumia mishipa katika enka ya mguu wangu ambalo litanifanya niwe nje kwa siku 10".
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha Sky kimeripoti
Katika hali ya kushangaza na isiyo ya kawaida imetokea tena katika ulimwengu wa soka duniani baada ya timu ile ambayo katika ligi kuu nchini kwao kushikilia mkia ikitarajiwa kushuka lakini ndio inayofanya vizuri katika michuano ya UEFA
Toni Kroos, Dimitri Payet, Alvaro Morata, Michy Batshuayi: Ni wachezaji vinara wa Euro 2016 wanaowindwa zaidi na vilabu vyenye pesa barani Ulaya Je! Paul Pogba anaweza kuihama Juventus baada ya Euro 2016?
Maoni
Chapisha Maoni