EVERTON YAIDIDIMIZA SUNDERLAND BAO 3-0

 Image result for everton vs sunderland 2016
Usiku wa jana klabu ya Everton katika harakati za kujiweka vizuri raundi hii ya nne ilifanikiwa kuwanyuka waponea chupu chupu Sunderland FC kwa jumla ya mabao 3-0
.
Image result for everton vs sunderland 2016
Romeu Lukaku akifunga bao safi kwa kichwa mbele ya mabeki wa Sunderland

Mabao yote ya Everton yalitiwa kimyani na mshambuliaji wao matata Romeo Lukaku ambaye kwake huo ulikuwa mchezo wa kwanza kwani alikuwa majeruhi.
Baada ya ushindi huo mnono walioupata Everton hali imebadilika katika msimamo wa ligi kwani kwa sasa Everton wanashika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 10 sawa na chelsea walioko nafasi ya pili huku Manchester United wakishushwa hadi nafasi ya nne

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii