MOURINHO: MOTISHA YA MAN UNITED IMEPUNGUA

Image result for watford vs man utd 2016
Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa wachezaji wake wanafaa kujizatiti wakati maamuzi yanapofanywa dhidi yao baada ya kushindwa 3-1 na Watford ,na hivyo
basi kupoteza mara tatu mfululizo katika kipindi cha siku nane.Image result for watford vs man utd 2016
Hatahivyo Mourinho amesema kuwa timu yake ndio iliokuwa bora na ingefaa kujipatia ushindi.
Amesema kwa sasa wanaangazia makosa ya kibinafsi pamoja na yale ya timu yote kwa jumla.
''Bao la pili lilikuwa makosa ya kibinafsi ,lakini hilo tunaweza kulitatua'',Mourinho.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii