Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2016

RONALDO USO KWA USO NA LEWANDOWISK LEO

Picha
Poland v Portugal Portugal wanataka kufuzu katika hatua ya nne bora (nusu-fainali) ya michuano ya Ulaya kwa mara ya nne kati ya mara tano ya michuano hiyo hii leo wakikutana na Poland

CHELSEA YANASA KIFAA KIPYA EURO 2016

Picha
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha  Sky kimeripoti

ENGLAND YAPATA KOCHA WA MUDA

Picha
Gareth Southgate,kocha wa muda wa England Chama cha soka nchini England kinajiandaa kumtangaza Gareth Southgate kuwa kocha wa muda wa timu yake ya taifa katika mwanzo wa kampeni za kuwania kufuzu kombe ka dunia

NYOTA KIBAO EURO KUPATA ULAJI (PAYET, KROOS, POGBA, MOLATA)

Picha
Toni Kroos, Dimitri Payet, Alvaro Morata, Michy Batshuayi: Ni wachezaji vinara wa Euro 2016 wanaowindwa zaidi na vilabu vyenye pesa barani Ulaya Je! Paul Pogba anaweza kuihama Juventus baada ya Euro 2016?

PSG YAMTANGAZA EMERY KUWA KOCHA WAO

Picha
Paris Saint-Germain wamemteua aliyekuwa kocha wa Sevilla Unai Emery kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka miwili.

MOUSSA DEMBELE AJIUNGA NA CELTIC

Picha
Celtic imemsajili Moussa Dembele kwa mkataba wa miaka minne baada ya mshambuliaji huyo kukamilisha vipimo vya afya huko Glasgow jumanne wiki hii. 

USAJILI LIGI KUU ENGLAND 2016

Picha
Ilkay Gundogan amejiunga na Manchester City kwa £21m Je! wataka kujua timu yako imemsajili nani na nani katoka? Angalia hapa katika orodha ya timu za ligi kuu England kwa walio wasajili na walioondoka katika majira haya ya joto

MURRY NA SERENA WASONGA MBELE

Picha
Serena Williams na Andy Murray wamefanikiwa kutinga katika mzunguko wa pili wa michuano ya Wimbledon inayoendelea mjini London.

ITALY YAILAZA SPAIN 2-0

Picha
Italy imeendelea kuonesha ubabe wake katika michuano  ya Ulaya Euro 2016 baada ya kuonesha kiwango kizuria wakati wakiitandika Hispania hapo jana jumla ya mabao 2-0 mjini  Paris na hivyo hatua ya robo fainali Italy watapepetana na  Germany 

KOCHA WA ENGLAND AJIUZULU BAADA YA KICHAPO

Picha
Roy Hodgson amejiuzulu kuendelea kuwa kocha wa timu ya taifa ya England punde mara baada ya kufungwa na Iceland katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Ulaya Euro 2016

PETER CECH RASMI ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

Picha
Mlinda lango wa Arsenal Petr Cech ambaye ni raia wa Jamhuri ya Czech ametangaza kuwa amestaafu katika soka ya kimataifa.

MANE KUJIUNGA NA LIVERPOOL RASMI

Picha
Sadio Mane anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kwaajili ya kujiunga na klabu ya vijogoo wa Anfield Liverpool,  ambapo gharama yake inasadikaka kuwa itakuwa kati ya £34m - hadi £36m akitokea Southampton.

MANE KUJIUNGA NA LIVERPOOL RASMI

Picha
Sadio Mane anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kwaajili ya kujiunga na klabu ya vijogoo wa Anfield Liverpool,  ambapo gharama yake inasadikaka kuwa itakuwa kati ya £34m - hadi £36m akitokea Southampton.

ENGLAND YATOLEWA EURO

Picha
Timu ya Iceland imeoiondoa England kwa mabao 2-1 katika michuano ya mpira ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.

MESSI AJIUZULU BAADA YA KICHAPO

Picha
Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha Chile kuilaza Argentina katika fainali ya mchuano wa Copa America.

RONALDO APATA PACHA WAKE EURO

Picha
  Christian Ronaldo ambaye alizua hofu kubwa katika michuano ya Mataifa ya Ulaya ali maarufu kama Euro kutokana na kiwango kibovu kilichokuwa kikioneshwa na timu yake ya Taifa ya Ureno ameibuka na kuwa midomoni mwa watu kutokana na kiwangokizuri alichokionesha usiku wa jana kwenye mpambano wao dhidi ya Hungary uliomalizika kwa timu hizo tutishana nguvu ya mabao 3-3.