ITALY YAILAZA SPAIN 2-0

Chiellini opened the scoring in the 33rd minute
Italy imeendelea kuonesha ubabe wake katika michuano  ya Ulaya Euro 2016 baada ya kuonesha kiwango kizuria wakati wakiitandika Hispania hapo jana jumla ya mabao 2-0 mjini  Paris na hivyo hatua ya robo fainali Italy watapepetana na  Germany 
Antonio Conte timu yake ilianza kuongoza kuanzia dakika ya 33 baada ya beki wake Giorgio Chiellini kuipatia bao la kuongoza, hata hivyo wangepata magoli mengi lakini uimara wa golikipa David de Gea uliomfanya kuokoa mikwaju mitatu ya nguvu katika kipindi cha kwanza.
 David De Gea was in fine form for Spain
 Goli la dakika za majeruhi lililofungwa na Graziano Pelle na kufanya Italy kuibuka kidedea 2-0
Graziano Pelle struck in injury-time to seal Italy's place in the last eight of Euro 2016

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii