PSG YAMTANGAZA EMERY KUWA KOCHA WAO

Unai Emery celebrates after Sevilla's success in the Europa Cup

Paris Saint-Germain wamemteua aliyekuwa kocha wa Sevilla Unai Emery kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka miwili.

Emery ameziba nafasi ya Laurent Blanc, aliyeachana na mabingwa hao wa Ufaransa Jumatatu mara baada ya miaka yake mitatu ya kazi kumalizika
Emery ameiongoza Sevilla kutwaa mara tatu mfululizo ubingwa wa Europa League kabla ya kuachana na timu hiyo mwanzoni mwa mwezi huu 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii