RONALDO APATA PACHA WAKE EURO

Cristiano Ronaldo returned to goalscoring form for Portugal against Hungary 
Christian Ronaldo ambaye alizua hofu kubwa katika michuano ya Mataifa ya Ulaya ali maarufu kama Euro kutokana na kiwango kibovu kilichokuwa kikioneshwa na timu yake ya Taifa ya Ureno ameibuka na kuwa midomoni mwa watu kutokana na kiwangokizuri alichokionesha usiku wa jana kwenye mpambano wao dhidi ya Hungary uliomalizika kwa timu hizo tutishana nguvu ya mabao 3-3.

Awali Ronaldo alionekana kuwa ni mtu mwenye hasira sana pale ambapo aliwatukana wachezaji wa Iceland baada ya kutoka sare ya 1-1 na kitendo cha kutupa kipaza sauti cha mwandishi wa habari wakati akimuhoji kuelekea mpambano wa jana.

Katika mpambano huo kulishuhudiwa na sare au mfanano mwingi nje ya magoli ya 3-3. Ronaldo ambaye alikuwa amevalia jezi nambari 7 na kitambaa cha unahodha alifanana sana na nahodha wa HungaryB Dzsudzsak (47, 55)
ambaye naye alivalia uzi namba 7 na ndiye aliyekuwa nahodha wa Hungary.

 Ukiachilia mbali ufanano wa jezi pamoja na majukumu ya unahodha pia wawili hao kila mmoja aliifungia timu yake mabao 2 ambapo B Dzsudzsak wa Hungary alianzaakifunga dk (47, 55) na Ronaldo kusawazisha dakika (50, 62)
.
Kwa upande wa Ureno goli lingine ambalo lilikuwa la kwanza lilifungwa na Luis Nani dk 42, na kwa upande wa Hungary goli la kwanza lilifungwa na Z Gera (19),
 Ronaldo was left frustrated by his side's defending against Hungary
Kwa hali hii huenda Ronaldo akapunguza hasira kutokana na timu yake ya Taifa kufuzu hatua ya 16 bora

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii