RONALDO USO KWA USO NA LEWANDOWISK LEO





Poland v Portugal
Poland v Portugal
Portugal wanataka kufuzu katika hatua ya nne bora (nusu-fainali) ya michuano ya Ulaya kwa mara ya nne kati ya mara tano ya michuano hiyo hii leo wakikutana na Poland
. Poland got through to the last eight after a shoot-out win over Switzerland
Cristiano Ronaldo ameipeleka Portugal katika fainali mara baada ya kazi yake kubwa iliyofanyika wakati wa raundi ya 16 bora Cristiano Ronaldo (C) is targeting a place in the semi-finals with Portugalmara baada ya kuwapiga Croatia, ambapo mnamo dakika ya 117 Ricardo Quaresma aliwapatia goli lililoweza kuwavusha.
Cristiano Ronaldo has two goals in the tournament so far
Marseille kutashuhudiwa nyota wa Real Madrid Ronaldo akipambana dhidi ya nyota wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski, ambapo wawili hao wameweza kupachika jumla ya mabao 93 katika msimu wa 2015/16 katika vilabu vyao.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii