MURRY NA SERENA WASONGA MBELE
Kwa upande wa Serena yeye
amemchakaza Amra Sadikovic kwa seti 6-2,6-4 huku Murray akimchapa Liam
Broady kwa seti 6-2 6-3 6-4 katika mchezo uliokuwa wa kukata na shoka.
Katika
mzunguko wa pili Serena Williams atacheza dhidi ya Christina McHale
huku Andy Murray mwenye miaka 29 akikipiga na Yen-Hsun Lu kutoka china.
Maoni
Chapisha Maoni