CHELSEA YANASA KIFAA KIPYA EURO 2016

Chelsea appear to have won the race to sign Michy Batshuayi

Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi
Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha  Sky kimeripoti
.
Batshuayi, ambaye kwa sasa yupo na timu ya taifa ya Belgium katika michuano ya Euro 2016, ameweza kujiunga na klabu kubwa hiyo ulaya mara baada ya msimu uliopita kupachika jumla ya mabao 17 akiwa Marseille inayoshiriki Ligue 1.

Hili ni swali ambalo wapenzi wa soka na wanachelsea kwa ujumla limebaki kichwani mwao ngoja tusubili nini kitatokea na nini atakifanya.
Nyota huyu mwenye umri wa miaka  22 alipata nafasi ya kuondoka kambini kwa Belgium baada ya kuruhusiwa na kocha wake mkuu Marc Wilmots ili aweze kukutana na daktari wa Chelsea huko Bordeaux, gharama ya uhamisho huo ni £33m ambao umempeleka Stamford Bridge.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii