MOUSSA DEMBELE AJIUNGA NA CELTIC

Moussa Dembele celebrates after scoring for Fulham last season
Celtic imemsajili Moussa Dembele kwa mkataba wa miaka minne baada ya mshambuliaji huyo kukamilisha vipimo vya afya huko Glasgow jumanne wiki hii. 

Staa huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 19 ameitumikia Fulham kwa takribani misimu mitatu amekuwa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika hapo  Craven Cottage

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii