Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

HAMOU AFUNGIWA KUCHEZA FRENCH OPEN KWA KUMBUSU MWANDISHI WA HABARI

Picha
Mchezaji wa Tenisi Maxime Hamou amefungiwa kushiriki michuano ya French Open mjini Paris, baada ya kujaribu kumbusu mwandishi wa habari mara kadhaa wakati wa mahojiano

WENGER APEWA MKATABA WA MIAKA 2 ARSENAL

Picha
  Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo

TIGER WOODS ASHUTUMIWA KWA ULEVI

Picha
  Siku moja baada ya mchezaji nyota wa gofu Tiger Woods kukausha kuwa hakuwa amelewa wakati polisi walipomkamata siku ya jumatatu, taarifa za polisi zinasema kuwa mchezaji huyo alikutwa amelala ama (amezima) wakati injini ya gari ikiwa inafanya kazi

MAHREZ KUONDOKA LEICESTER CITY

Picha
  Kiungo wa Leicester City Riyad Mahrez amesema kuwa anataka kuondoka katika klabu hiyo

POGBA AZURU MAKKAH

Picha
   Mchezaji soka aliye ghali zaidi duniani amefanya ziara ya kihujaji kwenda katika mji mkatatifu zaidi wa Kiislamu, Makkah, wakati wa mwanzo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

MKUDE AWASILI KAMBINI TAIFA STARS

Picha
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Said Ndemla, Mohammed Hussein 'Tshabalala', Ibrahim Hajib, Jonas Mkude wote wa klabu ya Simba na Simon Msuva wa Yanga wakiwa nje ya kambi ya timu hiyo

MALI MABINGWA WA AFRIKA U-17

Picha
  Timu ya soka ya Mali iliyo chini ya miaka 17 imeichabanga Ghana kwa goli 1-0 na kufanikiwa kunyakua kombe la mataifa ya Afrika nchini Gabon

DEFOE KWENDA AFC BOURNEMOUTH

Picha
Mshambuliaji wa timu ya Sunderland Jermain Defoe, anatarajiwa kujinga na klabu ya Afc Bournemouth kwa uhamisho wa bure

KOCHA CRYSTAL PALACE 'BIG SAM' AACHIA NGAZI

Picha
  Kocha wa Crystal Palace, Sam Allardyce, amebwaga majanyanga ya kuendelea kuinoa timu hiyo akiwa kadumu kwa miezi mitano tu kwenye klabu hiyo

MAN UTD USO KWA USO NA AJAX FAINALI EUROPA LEO

Picha
Mchezo huu wa fainali utachezwa katika dimba la Friends mjini Stockholm, kuanzia saa nne kasoro robo kwa saa za Afrika mashariki na mwamuzi wa mchezo huo atakua Damir Skomina raia wa Slovenia

MACHOZI YAMZIDIA TERRY KUIAGA CHELSEA!

Picha
Baada ya miaka 22 ya kuitumikia Chelsea, hali inaonekana kuwa ya huzuni kwa John Terry kuzuia hisia zake za kuondoka klabuni hapo

CHELSEA YATWAA UBINGWA WA HISTORIA ENGLAND

Picha
  Mabingwa wa Premier League Chelsea wameinyuka Sunderland 5-1 siku ya jana Jumapili wakati nahodha John Terry akiwaaga tayari kuondoka Stamford Bridge

ARSENAL WASHINDWA KUFUZU UEFA

Picha
Arsenal imeshindwa kufuzu kwa kombe la klabu bingwa barani ulaya, Champions League kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 20 licha ya ushindi wake dhidi ya Everton wa mabao 3-1 katika siku ya mwisho ya mechi za Primia League.

JUVENTUS ATWAA UBINGWA ITALIA

Picha
Vibibi vizee vya Turin Klabu ya Juventus imeweka historia ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya nchini Italia kwa mara ya sita mfululizo

REAL MADRID BINGWA LALIGA

Picha
Klabu Real Madrid imetwaa taji la ubingwa wa La Liga baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Malaga na kumaliza ukame wa miaka mitano bila kutwaa kombe hilo

BAO LA UTATA LAWAONDOA SERENGETI BOYS GABON

Picha
Tanzania imetolewa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17, baada ya kufungwa 1-0 na Niger katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Uwanja wa Port Gentil mjini Gentil, Gabon.