MACHOZI YAMZIDIA TERRY KUIAGA CHELSEA!
Baada ya miaka 22 ya kuitumikia Chelsea, hali inaonekana kuwa ya huzuni kwa John Terry kuzuia hisia zake za kuondoka klabuni hapo
.Na baada ya kuwashukuru wachezaji wenzake,viongozi, mashabiki, Roman Abramovich na mke wake, alibugujikwa na machozi huku akisema siku moja atarudi na daima anaipenda klabu ya Chelse.
Hivyo siku ya jana John Terry ameaga rasmi ndani ya kikosi cha Chelsea na kitambaa cha unaodha amemkabidhi Gary Cahil


Maoni
Chapisha Maoni