DEFOE KWENDA AFC BOURNEMOUTH

Mshambuliaji wa timu ya Sunderland Jermain Defoe, anatarajiwa kujinga na klabu ya Afc Bournemouth kwa uhamisho wa bure
.
Mshambuliaji
huyu wa timu ya taifa ya England mwenye miaka 34 alijiunga na
Sunderland mwezi Januari mwaka 2015, na kufunga jumla ya mabao 15
.

Defoe aliwahi kuichezea Bournemouth kwa mkopo akiwa kinda katika msimu wa 2000- 2001, akitokea klabu ya West Ham United
Uhamisho wa wa mshambuliaji huyu unaweza kufanywa haraka na kutangazwa kwa mapema wiki hii
.

Maoni
Chapisha Maoni