Machapisho

PELLEGRIN ALAMBA DUME

Picha
Manuel Pellegrini akikamilisha usajili wa nyota mwingine wa Ulaya atakuwa ameongeza kukiimarisha kikosi chake kilichopo sasa.Tangu mwanzoni mwa msimu wa mwaka jana hadi sasa De Bruyne ametoa pasi za mwisho(20) zaidi ya

MAKUNDI YA UEFA HAYA HAPA!

Picha
  Makundi ya UEFA sasa haya hapa kila timu yajua mbaya wake mapemaaaaa... angalia timu yako iko kundi gani,lakini katika makundi hayo kundi D la timu za Man City na Juve ikiwa ni pamoja na lile kundi F la Bayern na Arsenal yameonekana kuleta gumzo.

MAN UTD YAPIGA 4-0, LVG AMPONGEZA ROONEY

Picha
  Louis van Gaal amemsifia Wayne Rooney kwa uwezo wake baada ya straika huyo kufunga hat-trick katika ushindi wa Manchester United wa 4-0 dhidi ya Club Brugge.

RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKI HII ONA HAPA

Picha
Katika wikiendi itakayofuata wiki hii ligi kuu nchini Uingereza nyasi za viwanja mbalimbali zitapata shida ambapo kila timu itajitupa uwanjani kutafuta ushindi.  Mchezo wa mapema siku hiyo utakuwa ule wa Newcastle United wakiwakaribisha washika mitutu wa London 'Arsenal', mchezo huu utachezwa majira ya saa 8:45 mchana siku ya jumamosi na unatarajiwa kuwa wa vuta nikuvute kutokana na ubora ambao

MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND WIKI HII HUU HAPA

Picha
  Ni baada ya kila timu katika ligi kuu ya Uingereza kukamilisha michezo mitatu ambapo timu nyingi zilichuana wikendi na mchezo mmoja uliokuwa umebaki kumalizika jana usiku msimamo wa ligi hiyo umebadilika kwa sasa.

HUYU PEDRO WA MOURINHO NI SHIDAAAA......!!

Picha
Ni kwa siku nyingi wachambuzi wengi walikuwa wakijiuliza ni yupi mchezaji ndani ya Chelsea ambaye ataweza kuwasumbua mabeki zaidi ya Hazard!! jibu walikuwa hawalipati lakini kwa sasa jibu limepatikana kuwa chaguo la Mourinho ni sahihi (Pedro)

WENGER APANIKI...AKOSOA REFA (PICHA)

Picha
  Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amemkosoa Refa Michael Oliver kwa kukataa goli ambalo lilikuwa la muhimu kwao na kupelekea kudroo 0-0 dhidi ya Liverpool katika mchezo