MECHI ZA LEO LIGI KUU ENGLAND



Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii.

Wagonga wa nyundo wa London West ham, watakua wenyeji wa washika bunduki Arsenal, Aston Villa wanaoburuza mkia watakua nyumabani Villa Park kuwakabili Bournemouth.
Mauro Zarate(mbele) akishangilia na wacheaji wenzake wa West ham akiwemo Payet upande wa kulia mara baada ya kupata goli la pili kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza dhidi ya Arsenal - Emirate
Matajiri wa Man City watashuka katika uwanja wao wa Etihad kusaka alama tatu kwa kucheza na West Bromwich Albion, Huku Swansea wakikipiga na Chelsea mchezo utaochezwa katika dimba la Libert.

Michezo mingine itakayochezwa hii leo ni

Crystal Pale na Norwich

Southampton na Newcastle

Watford na Everton

RATIBA YA LEO NA KESHO EPL
14:45
West Ham United
VS
Arsenal

17:00
Aston Villa
VS
AFC Bournemouth

17:00
Crystal Palace
VS
Norwich City

17:00
Southampton
VS
Newcastle United

17:00
Swansea City
VS
Chelsea

17:00
Watford
VS
Everton

19:30
Manchester City
VS
West Bromwich Albion



April 10

15:30
Sunderland
VS
Leicester City

18:00
Liverpool
VS
Stoke City
18:00
Tottenham Hotspur
VS
Manchester United

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii