Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2016

KOMPANY KUIKOSA PSG KESHO

Picha
Vincent Kompany not fit enough for Man City's Champions League clash with PSG By Dev Trehan Last Updated: 11/04/16 3:38pm Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini amethibitisha kuwa nahodha Vincent Kompany hatacheza katika mpambano wa robo fainali wa UEFA wa marudiano dhidi ya PSG

IBRAHIMOVIC KUJIUNGA NA MAN UTD

Picha
  Zlatan Ibrahimovic ameonesha nia ya kutaka kujiunga na kikosi cha Manchester United katika majira ya joto lakini kama kocha wa klabu hiyo Louis van Gaal

MANNY PACQUIAO AMCHAPA TIM BRADLEY

Picha
Bondia Mfilipino Manny Pacquiao amemchapa bondia kutoka Marekani Tim Bradley katika pigano lake la mwisho. Mfilipino huyo ambaye alishindwa katika pigano lake kuu dhidi ya bondia tajiri zaidi duniani Floyd Mayweather amekuwa bingwa katika vitengo mbali mbali

ESPERANCE YAKIONA CHA MOTO KWA AZAM

Picha
  Michuano ya kombe la shirikisho Afrika imeendelea tena Jumapili kwa michezo kadhaa ,Azam fc wakicheza nyumbani Azam complex jijini Dar es salaam walifanikiwa kuwachapa Esperance ya Tunisia mabao

MATOKEO EPL WEEKEND HII, LEICESTER HAISHIKIKI, MAN YAPIGWA 3

Picha
Ligi kuu ya soka ya England imeendelea tena jumapili kwa michezo mitatu ,Sunderland wakicheza nyumbani dhidi ya vinara wa ligi Leicester city, waliambulia kipigo cha mabao 2-0, na kuwafanya leicester city kufikisha alama 72 katika Msimamo.

MAGAZETI YA LEO APRIL 11, 2016 UCHAWI WAIUA YANGA, MOURINHO AGOMA MAN UTD...

Picha

SOMA MAGAZETI JUMAPILI YA LEO TAR.10,APRIL 2016

Picha

MATOKEO LALIGA; MADRID APIGA 4, BARCA ACHEZEA KICHAPO

Picha
Ligi kuu Hispania ali maarufu kama LALIGA imeendelea mwishoni mwa wiki hii ambapo timu takribani timu 8 zilijitupa ndani ya viwanja 4 kila mmoja akisaka alama 3 muhimu kwani mara baada ya mechi za lero kila timu itakuwa imebakiza michezo

MATOKEO EPL , ARSENAL YASIMAMISHWA!

Picha
  Weekend hii ligi kuu ya England imeendelea kwa nyasi kupata shida katika viwanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na ile mechi ya mapema ya West Ham dhidi ya Arsenal iliyopigwa majira ya saa 8:45 mchana na mechi ya usiku majira ya saa 1:30 Man City dhidi ya

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 09, 2016

Picha

MECHI ZA LEO LIGI KUU ENGLAND

Picha
Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii. Wagonga wa nyundo wa London West ham, watakua wenyeji wa washika bunduki Arsenal, Aston Villa wanaoburuza mkia

WADHAMINI WA UEFA WAKARABATI VIWANJA VITATU JIJINI DAR

Picha
Shirikishio la Soka Tanzania (TFF) limeishukuru kampuni ya bia ya Heineken ambao ni wadhamini wakuu wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) kwa kujitolea kufanya ukarabati wa viwanja vitatu vya mpira wa miguu vilivyopo jijini Dar es Salaam.

AL AHLY WAPASHA MARA YA MWISHO

Picha
MAZOEZI YA MWISHO YA AL AHLY TAIFA KABLA YA KUIVAA YANGA KESHO TAIFA MAZOEZI YA MWISHO YA KIKOSI CHA AL AHLY KABLA YA MECHI YA KESHO DHIDI YA YANGA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM. CHINI YA KOCHA MARTIN JOL, KIKOSI HICHO KILIFANYA MAZOEZI YAKE HAYO LEO HII JIONI KWENYE UWANJA HUO.

MATOKEO MECHI ZA EUROPA

Picha
Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi akipachika bao safi mbele ya mabeki wa Dortimund Michezo minne ya robo fainali ya michuano ya Europa ligi imechezwa katika viwanja vinne tofauti. Liverpool wakiwa ugenini nchini Ujerumani walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Borrusia Dortmund, Divock Origi aliwafungia Liverpool bao la kuongoza kabla ya beki wa Dortmund Mats Hummels kusawazisha.

AL AHLY USO KWA USO NA YANGA TAIFA

Picha
Yanga watakutana na Al Ahly uwanja wa taifa Dar es Salaam Klabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL). Mechi hiyo itachezewa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki.

TYSON KUZICHAPA NA KLITSCHKO

Picha
Klitschko na Tyson Fury wakirushiana makonde Pigano la marudio kati ya Tyson Fury na Wladmir Klitschko litaandaliwa mjini Manchester mnamo mwezi Julai tarehe 9 kulingana na mkufunzi wa bondia huyo wa Uingereza. Peter Fury alituma ujumbe katika mtandao wa Twitter siku ya Ijumaa na tangazo jingine linatarajiwa baadaye.

MBOKANI AIKACHA TIMU YA TAIFA DR CONGO

Picha
Mshambuliaji hodari wa timu ya taifa ya DR Congo, Dieu Merci Mbokani amesema hataichejzea tena timu ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Hii inafuatia matamshi ya wakuu wa chama cha soka cha nchi hiyo kwamba mshambuliaji huyo lazima achukuliwe hatua kali baada yake kususia mchezo kati ya DR Congo na Angola uliopigwa tarehe 26 Machi jijini Kinshasa.