KOMPANY KUIKOSA PSG KESHO

Vincent Kompany not fit enough for Man City's Champions League clash with PSG

By Dev Trehan

Last Updated: 11/04/16 3:38pm












Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini amethibitisha kuwa nahodha Vincent Kompany hatacheza katika mpambano wa robo fainali wa UEFA wa marudiano dhidi ya PSG "Vincent Kompany hatakuwa kwenye kikosi cha Manchester City kitakachocheza robo fainali ya mabingwa wa UEFA dhidi ya Paris Saint-Germain" alisema Manuel.

Kikosi cha City kimefanya mazoezi ya mwisho hii leo katika uwanja wa Etihad ili kujiweka vizuri kwaajili ya kesho.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii