Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2015

RATIBA LIGI KUU HISPANIA

Picha
James Rodrigues 18:00 Real Sociedad ? - ? Sevilla 20:15 Real Madrid ?- ? Barcelona 22:30 Espanyol ? - ? Malaga

RATIBA LIGI KUU ENGLAND KESHO

Picha
wachezaji wa Man City na Sturrige wa Liverpool Ratiba ligi kuu England wikendi hii mtu kufungwa, kudroo au kushinda.

MJUE NYOTA WA AFRIKA SADIO MANE

Picha
Sadio Mane Sadio Mane huenda hakushinda chochote mwaka wa 2015 lakini wakati mshambuliaji huyo wa kilabu ya Southampton alipofunga mabao matatu pekee yake, ndani ya sekunde 176 katika ushindi wa nyumbani wa 6-1 dhidi ya Aston Villa mnamo mwezi Aprili ,alivunja rekodi ya ligi ya Uingereza

ROONEY NA MARTIAL KUTOCHEZA WIKENDI

Picha
Martial na Rooney Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa mshambuliaji Anthony Martial na nahodha Wayne Rooney ni miongoni mwa wachezaji watano ambao hawatashirii katika mechi ya timu hiyo dhidi ya Watford siku ya jumamosi.

STURRIGE KUIVAA MAN CITY

Picha
Sturrige Sturridge ataambatana na wachezaji wenzake wa Liverpool wikendi hii kuivaa Man City. Jurgen Klopp amehakikisha anamweka vyema Daniel Sturridge na kuwa katika kiwango bora ili kuweza kupambana vilivyo kusaka pointi 3 dhidi ya Manchester City

WENGER; "WACHEZAJI WAPIMWE VIZURI"

Picha
Wenger Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anataka vipimo bora vya dawa za kusisimua misuli kuchukuliwa mara kwa mara miongoni mwa wachezaji wa soka. Shirikisho la soka nchini Uingereza limemtaka Wenger kuelezea matamshi aliyotoa kuhusu vipimo vya dawa za kusisimu misuli katika mahojiano na gazeti la Ufaransa la L'Equipe.

EDDIE JONES KOCHA MPYA RAGA, ENGLAND

Picha
Eddie Jones kocha mpya Raga,England Eddie Jones leo anakuwa kocha mpya timu ya Raga ya Uingereza na kuwa na raia wa kwanza wa kigeni kuifundisha timu hiyo. Raia huyo wa Australian mwenye umri wa miaka 55,amekwisha kamilisha kuwasilisha vielelzo

NADAL AMCHAPA MURRAY

Picha
Nadal amchapa Murray Mchezaji namba tano kwa ubora wa mchezo wa tenesi kwa upande wa wanaume Rafael Nadal,amemshinda muingereza Andry Murray. Nadal ameshinda mchezo huo kwa jumla ya seti 6-4 6-1, mchezo uliofanyika katika uwanja wa O2 Arena.

KOCHA WA CONGO BRAZAVILLE AJIUZULU

Picha
 Aliyekuwa Kocha wa Congo Brazaville, Claude LeRoy Kocha mfaransa Claude LeRoy, aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville,amejiuzulu kuifundisha timu hiyo. LeRoy mwenye umri wa miaka 67 aliuambia uongozi wa soka wa kocha wa Congo uamuzi huo muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia kwa kuifunga Ethiopia kwa mabao 2-1

RUFAA YA BLATTER NA PLATIN YAKATALIWA

Picha
Aliyekuwa Rais wa Uefa Michel Platini Rufaa iliyokatwa na Rais wa Fifa aliyesimamishwa Sepp Blatter pamoja na raisi wa Uefa Michel Platini kupinga kusimamishwa kwa siku tisini zimekataliwa na kamati ya rufaa ya shirikisho hilo la soka.

RONALDO NA BALE KUKOSA KIKOSI CHA KWANZA EL CLASICO

Picha
Gareth Bale na Cristiano Ronaldo wasiwasi kuanza jumamosi.   Bila Ronaldo. Bila Bale. Ninani atakaye ifanya El Clasico ya kikosi cha kwanza iwe nzuri? Ni ukweli kwamba hakuna mechi kali duniani ya mpira wa miguu zaidi ya Real Madrid dhidi ya Barcelona,

BABA: ''NEYMAR ATAONDOKA BARCELONA KUTOKANA NA KODI"

Picha
"Neymar ataondoka Barcelona na kuhama Hispania" amesema baba yake. Neymar itamlazimu kuhama Barcelona kutokana na kile kinachoendelea kuhusu masuala ya kodi nchini Hispania, kutokana na baba yake.

MASAA 72 CHELSEA VS NORWICH

Picha
Klabu ya chelsea itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Norwich City siku ya jumamosi tarehe 21Novemba 2015. 

WAKO WAPI WASHINDI WA FA YOUTH CUP 2011?

Picha
Wachezaji wa zamani wa Man Utd  Ryan Tunnicliffe, Jesse Lingard, Paul Pogba na Ravel Morrison wakipiga picha na kombe lao la 2011 FA Youth Cup Baada ya wachezaji hawa marafiki Jesse Lingard na Paul Pogba kucheza pamoja kwenye uwanja wa Wembley siku ya Jumanne usiku na kutwaa kombe, sasa tunaangalia wachezaji hawa vijana w a Manchester United waliochukua kombe la  2011 FA Youth Cup wako wapi.

TAIFA STARS YAAMBULIA KICHAPO ALGERIA

Picha
Michezo ya raundi ya pili ya kusaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia nchini Urusi 2018 kwa ukanda wa Afrika, ilichezwa jana huku timu za Tanzania, Kenya na Rwanda zikishindwa mechi zao. Tanzania wakicheza ugenini dhidi ya Algeria walikubali kichapo cha mabao 7-0 na kufuta kabisa ndoto yao ya kusonga mbele.

MECHI YA UINGEREZA DHIDI YA UFARANSA KUCHEZWA

Picha
Mechi ya kirafiki kati ya Uingereza na Ufaransa katika uwanja wa Wembley itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne baada ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 128.