STURRIGE KUIVAA MAN CITY


Sturrige
Sturridge ataambatana na wachezaji wenzake wa Liverpool wikendi hii kuivaa Man City.
Jurgen Klopp amehakikisha anamweka vyema Daniel Sturridge na kuwa katika kiwango bora ili kuweza kupambana vilivyo kusaka pointi 3 dhidi ya Manchester City
.
Sturridge amethibitisha yeye mwenyewe kuwa yupo vizuri kwaajili ya mechi hiyo itakayo chezwa jumamosi usiku mara baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja na zaidi kwa kusumbuliwa na goti.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii