WAKO WAPI WASHINDI WA FA YOUTH CUP 2011?

Wachezaji wa zamani wa Man Utd  Ryan Tunnicliffe, Jesse Lingard, Paul Pogba na Ravel Morrison wakipiga picha na kombe lao la 2011 FA Youth Cup
Baada ya wachezaji hawa marafiki Jesse Lingard na Paul Pogba kucheza pamoja kwenye uwanja wa Wembley siku ya Jumanne usiku na kutwaa kombe, sasa tunaangalia wachezaji hawa vijana wa Manchester United waliochukua kombe la  2011 FA Youth Cup wako wapi. Ikiwa ni miaka minne na nusu sasa tangu waachane baada ya kutwaa kombe la FA Youth Cup kwa ushindi wa jumla ya mabao 6-3 dhidi ya Sheffield United kwenye fainali, Lingard na Pogba walikuwa wapinzani katika ushindi wa England wa 2-0 dhidi ya Ufaransa.



Mchezaji wa Uingereza Jesse Lingard na wa Ufaransa Paul Pogba walipokutana Wembley

Lakini nini kilitokea kwa wachezaji waliobakia vijana wengine wa United walioonekana kung'ara siku ya fainali mwaka ule? Kutoka ligi ya mabigwa hadi ligi isiyofahamika, ni kitu fulani ambacho ukijiuliza utahisi kuchanganyikiwa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii