BABA: ''NEYMAR ATAONDOKA BARCELONA KUTOKANA NA KODI"


"Neymar ataondoka Barcelona na kuhama Hispania" amesema baba yake. Neymar itamlazimu kuhama Barcelona kutokana na kile kinachoendelea kuhusu masuala ya kodi nchini Hispania, kutokana na baba yake.

 Mshambuliaji huyo wa Brazil ambaye amevivutia vilabu vya Manchester United katika msimu wa kiangazi ambapo mazungumzo bado yanaendelea kuhusu mkataba wake ambao unamalizika mwaka 2018.
Neymar akiwa na Baba yake

Barca inafikiria kumuongezea mkataba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ambao utamfanya awe na thamani ya £140m. Baba yake na Meneja wake, Neymar Santos Sr, wamehoji juu ya maisha ya mbeleni ya kijana wao klabuni hapo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii