RONALDO NA BALE KUKOSA KIKOSI CHA KWANZA EL CLASICO

Gareth Bale na Cristiano Ronaldo wasiwasi kuanza jumamosi.
  Bila Ronaldo. Bila Bale. Ninani atakaye ifanya El Clasico ya kikosi cha kwanza iwe nzuri?

Ni ukweli kwamba hakuna mechi kali duniani ya mpira wa miguu zaidi ya Real Madrid dhidi ya Barcelona, manguli hawa wa ligi ya Hispania  watakutana siku ya jumamosi tarehe 21 majira ya 3:45 usiku. Kila timu inasema ipo vizuri lakini watu wanajiuliza ni wachezaji wapi watakaounda kikosi cha watu 11 waliocheza El Clasico?.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii