Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2015

RATIBA LIGI KUU HISPANIA WIKI HII

Picha
  Nchini Uhispania wiki hii kutakuwa na mechi mbalimbali ikiwa ni raundi ya 8, kila timu imejipanga kuhakikisha inaibuka na ushindi. Kuelekea mechi hizo kuna baadhi ya timu zitawakosa wachezaji wao wa muhimu kama Lionel Messi wa Barcelona.

RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKI HII

Picha
  Ratiba ya ligi kuu ya England wiki hii imejawa na upinzani wa hali ya juu kukiwa na mpambano wa piga nikupige kati ya timu moja na nyingine huku ligi hiyo ikipata bahati kubwa ya kumuona kwa mara ya kwanza kocha mpya wa klabu ya Liverpool Jurgen Kloop ambaye ametoka ligi ya Ujerumani

LIVERPOOL WAPATA PIGO, INGS AUMIA

Picha
Mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings nje ya uwanja baada ya kuumia enka ya mguu ( cruciate ligament) Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 aliyejiunga na klabu ya Liverpool akitokea Burnley msimu huu aliumia kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya Uingereza na Lithuania Jumatatu usiku na kupasuka cruciate yake ya mbele .

MOURINHO APIGWA FAINI

Picha
  Meneja wa Klabu ya Chelsea Jose Mourinho amepigwa faini ya £ 50,000 na chama cha soka cha soka cha Uingereza FA .   Katika adhabu hiyo Jose Mourinho pia amefungiwa mechi moja ambayo ni Chelsea dhidi ya Aston Villa.

WALCOTT, STERLING WAIONGOZA ENGLAND USHINDI WA 2-0

Picha
  Timu ya taifa ya Uingereza imerejesha matumaini mapya kwa mashabiki wa taifa hilo kutokana na hapo nyuma ambapo timu yao ya taifa ilikuwa ikiitwa tia maji tia maji kwani ushindi ulikuwa wa kubahatisha na sasa inaonekana ipo vizuri kwani kocha wao Roy Hodgson ameendelea kushinda mfululizo mechi tisa

SERGIO ARGUERO NJE WIKI NANE

Picha
  Majeraha ya siku 56 aliyoyapata mshambuliaji matata wa Manchester City ni pigo kubwa kwa timu hiyo inayoshiriki ligi kuu Uingereza na huku ikiwa mbioni kuutafuta ubingwa wa ligi hiyo kwani wanaongoza ligi wakiwa na alama 18 na Arguero huyo aliyeumia ndiye aliye funga magoli 5 katika mechi iliyopita.

KLOPP ALETA MATUMAINI MAPYA LIVERPOOL

Picha
Liverpool imemteua Jurgen Klopp kuwa meneja wake mpya kwa mkataba wa miaka mitatu. Klopp raia wa Ujerumani mwenye miaka 48 anachukua nafasi ya Brendan Rodgers aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuhudumu katika klabu hiyo kwa miaka mitatu

MESSI NA BABAKE WASHTAKIWA KWA WIZI

Picha
  Jaji mmoja nchini Uhispania ameagiza kwamba nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi, ni sharti ashtakiwe kwa mashtaka ya kuibia mamlaka ya ushuru zaidi ya dola milioni 4. Iwapo atapatikana na hatia atakabiliwa na kifungo cha miezi 22.

ISSA HAYATOU RAIS WA FIFA

Picha
  Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda. Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa Fifa Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo, shirikisho hilo linalosimamia soka duniani limesema kupitia taarifa.

ARGENTINA, BRAZIL ZAFUNGWA

Picha
Timu kubwa za Brazil, Argentina na Ujerumani usiku wa kuamkia leo zimejikuta zikipoteza katika mashindano ya tofauti; Brazil iliambulia kichapo cha 2-0 dhidi ya Chile katika mechi ya kufuzu kombe la