RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKI HII

 
Ratiba ya ligi kuu ya England wiki hii imejawa na upinzani wa hali ya juu kukiwa na mpambano wa piga nikupige kati ya timu moja na nyingine huku ligi hiyo ikipata bahati kubwa ya kumuona kwa mara ya kwanza kocha mpya wa klabu ya Liverpool Jurgen Kloop ambaye ametoka ligi ya Ujerumani
Bondes Ligi katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshika nafasi ya pili kwa sasa.

England - Premier League

October 17
14:45 Tottenham Hotspur ? - ? Liverpool

17:00 Chelsea ? - ? Aston Villa

17:00 Crystal Palace ? - ? West Ham United

17:00 Everton ? - ? Manchester United

17:00 Manchester City ? - ? AFC Bournemouth

17:00 Southampton ? - ? Leicester City

17:00 West Bromwich Albion ? - ? Sunderland

19:30 Watford ? - ? Arsenal

October 18

18:00 Newcastle United? - ? Norwich City

October 19
22:00 Swansea City ? - ? Stoke City

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii