LIVERPOOL WAPATA PIGO, INGS AUMIA

Mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings nje ya uwanja baada ya kuumia enka ya mguu (cruciate ligament)
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 aliyejiunga na klabu ya Liverpool akitokea Burnley msimu huu aliumia kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya Uingereza na Lithuania Jumatatu usiku na kupasuka cruciate yake ya mbele.


Habari hiyo imeleta mshituko kwa kikosi cha Liverpool ambacho kimefanikiwa kumpata kocha mpya hivi karibuni Jurgen Klopp na mechi yake ya kwanza atashindwa kumtumia Ings.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii