Machapisho

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA MECHI ZA LEO NA KESHO HII HAPA

Picha
Baada ya kukamilika kwa raundi ya 24 hapo siku ya jumapili leo tena timu zinztimba dimbani kila mmoja akisaka pointi

BARCELONA USO KWA USO NA VILLARREAL COPA DEL REY

Picha
Barcelona watawakaribisha Villarreal wakati Athletic Bilbao watakutana na Espanyol katika hatua ya nusu fainali ya nusu fainali ya kombe la mfalme alimaarufu kama

WENGER: SIJUI WILSHERE ATARUDINI

Picha
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema bado hajajua lini mchezaji wa kiungo Jack Wilshere atarejea uwanjani baada ya

USHINDI WA IVORY COAST WAZAA SIKUKUU

Picha
Ivory Coast imetangaza Jumatatu kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wake dhidi ya Ghana katika fainali ya kombe la mataifa ya

IPI NI NAFASI SAHIHI YA ROOONEY UWANJANI?? (ANGALIA HAPA)

Picha
  Mwanandinga  huyu wa Manchester United maranyingi anatumiwa kama kiungo na kocha wake Louis van Gaal. Wanasoka wengi wamekuwa wakijiuliza huyu Rooney ni kiungo? au mshambuliaji wa kati? na mwisho wamekuwa wakiishia kubakia na

VAN GAAL:MIPIRA MIREFU ITAIOKOA MAN UTD

Picha
Manchester United imeonekana ni timu inayopenda kutumia mipira mirefu baada ya droo ya 1-1 mbele ya West Ham katika uwanja wa Upton Park siku ya

LIVERPOOL: STERLING HAONDOKI

Picha
Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers amekaliliwa akisema kuwa Raheem Sterling anamkataba mnono klabuni hapo na mataizo madogo madogo ya mkataba yatamalizika hivi