Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2016

MATOKEO UEFA: MAN CITY YAADHIBIWA VIKALI NA BARCA

Picha
Lionel Messi ameweza kufunga hat-trick wakati Barcelona ikiilaza Manchester City 4-0 katika mpambano wa ligi ya mabingwa Ulaya,  ambapo Pep Guardiola alikuwa akicheza na timu yake ya zamani aliyoichezea na kuifundisha pia

MATOKEO UEFA: LEICESTER, MADRID ZA SHINDA

Picha
Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa UEFA Champions League ambapo timu mbali mbali kutoka katika makundi ya E, F, G na H walijitupa uwanjani kupepetana ili kila mmoja kuhakikisha anaibuka na alama tatu muhimu ikiwa ni michezo ya kukamilisha mzunguko wa kwanza

YOTE YAWEZEKANA: SON NI MUASIA WA KWANZA KUWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI EPL

Picha
  Son Heung-min nyota huyu wa Tottenham Hotspur amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba katika ligi ya Uingereza iliyotolewa na EA Sports

ANDER HERRERA 'MAN OF THE MATCH' LIVER VS MAN UTD

Picha
Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana. Katika mchezo huo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa zamu huku kipindi cha pili Liverpool ikishambulia zaidi lango la United

TENNIS: KYRGIOS AFUNGIWA KUCHEZA WIKI NNE

Picha
Muaustralia Nick Kyrgios amefungiwa kwa wiki nane na kutozwa faini ya dola za kimarekani 25,000 kwa utovu wa nidhamu-ikiwa ni pamoja na kucheza ovyo wiki iliyopita michuano ya Shaghai Masters

DROGBA AIGOMEA TIMU YAKE

Picha
Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba alikataa kuichezea Montreal Impact baada ya kuambiwa hataanzishwa dhidi ya Toronto ,kulingana na kocha Mauro Biello