YOTE YAWEZEKANA: SON NI MUASIA WA KWANZA KUWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI EPL

Image result for SON HEUNG MIN PLAYER OF THE MONTH 


Son Heung-min nyota huyu wa Tottenham Hotspur amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba katika ligi ya Uingereza iliyotolewa na EA Sports
.
 Son amekuwa ni Mchezaji wa kwanza kutoka Asia tangu mwaka 1994.Image result for SON HEUNG MIN PLAYER OF THE MONTH
EA Sports wameseama kwa kupitia mtandao wao kuwa walifurahishwa na kiwango alicholkionesha Son mwezi uliopita akiwa na timu yake ya Tottenham Hotspur ambapo aliweza kupachika jumla ya mabao manne na kutoa pasi za mwisho hali iliyopelekea kushinda mechi zao tatu mfululizo kwa mwezi Septemba.Image result for SON HEUNG MIN PLAYER OF THE MONTH
Son aliweza kupata kura nyingi kutoka kwa wachambuzi pamoja na mashabiki wa soka hali iliyomfanya kuwapiku wenzake wanne akiwemo Adam Lallana kutoka Liverpool, Kevin De Bruyne wa Manchester City, Romelu Lukaku wa Everton na Theo Walcott kutoka Arsenal.

REKODI
Son Heung-min:- Mchezaji pora wa mwezi EPL
Son Heung-min:- Ameipiku rekodi ya Park Ji-sung's kwenye UEFA Champions League
Son Heung-min :- Amepokea ofa kutoka Wolfsburg'
Je! Son Heung-min anaweza ataweza akaenda Bundesliga?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii