Machapisho

ROGER FEDER AKUMBWA NA MAJERAHA

Picha
Mchezaji bora namba tatu wa Dunia katika mchezo wa Tenisi Roger Federer atakuwa nje ya uwanja kwa muda mwezi baada ya kuumia goti.

BARCA YAUA 7-0 VALENCIA

Picha
  Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary Neville ilipewa kichapo cha mwaka na klabu ya Barcelona katika nusufainali ya michuano ya Copa del Rey baada ya kubebeshwa magoli saba.

RATIBA LIGI KUU HISPANIA

Picha
James Rodrigues 18:00 Real Sociedad ? - ? Sevilla 20:15 Real Madrid ?- ? Barcelona 22:30 Espanyol ? - ? Malaga

RATIBA LIGI KUU ENGLAND KESHO

Picha
wachezaji wa Man City na Sturrige wa Liverpool Ratiba ligi kuu England wikendi hii mtu kufungwa, kudroo au kushinda.

MJUE NYOTA WA AFRIKA SADIO MANE

Picha
Sadio Mane Sadio Mane huenda hakushinda chochote mwaka wa 2015 lakini wakati mshambuliaji huyo wa kilabu ya Southampton alipofunga mabao matatu pekee yake, ndani ya sekunde 176 katika ushindi wa nyumbani wa 6-1 dhidi ya Aston Villa mnamo mwezi Aprili ,alivunja rekodi ya ligi ya Uingereza

ROONEY NA MARTIAL KUTOCHEZA WIKENDI

Picha
Martial na Rooney Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa mshambuliaji Anthony Martial na nahodha Wayne Rooney ni miongoni mwa wachezaji watano ambao hawatashirii katika mechi ya timu hiyo dhidi ya Watford siku ya jumamosi.

STURRIGE KUIVAA MAN CITY

Picha
Sturrige Sturridge ataambatana na wachezaji wenzake wa Liverpool wikendi hii kuivaa Man City. Jurgen Klopp amehakikisha anamweka vyema Daniel Sturridge na kuwa katika kiwango bora ili kuweza kupambana vilivyo kusaka pointi 3 dhidi ya Manchester City