MJUE JAMES RODRIGUEZ

 Jina kamili anaitwa James Rodriguez akiwa na takribani miaka 24, alizaliwa Jul 12, 1991 katika mji wa  CĂșcuta nchini Colombia, urefu wake ni mita 1,80 m, kwa sasa ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid inayoshiriki ligi kuu ya Hispania alimaarufu kama Laliga.Rodriguez alijiunga na klabu hiyo Jul 22, mwaka 2014 kwa ada ya uhamisho wa Euro 80m.
Kiungo mshambuliaji huyo alisaini mkataba ambao utadumu hadi tar 30.06.2020 chini ya wakala wake Gestifute akiwa ni kiungo mshambuliaji.
Katika Primera Division msimu wa mwaka 2015-2016 ameweza kupachika wavuni jumla ya mabao 2 na kutoa pasi ya mwisho 1, pasi za muhimu kwa kila mchezo ni 3.5,ameweza kupiga wastani wa mashuti 2.5 kwa kila mechi




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii