UHOLANZI YAPIGWA 3-0 NA UTURUKI

Uturuki imeshinda 3-0 mabao ya Oguzhan Ozyakup dakika ya nane, Arda Turan dakika ya 26 na Burak Yilmaz dakika kabla ya filimbi ya mwisho. Uholanzi imeporomoka hadi nafasi ya nne na sasa inaweza kufuzu Euro kupitia mchezo maalum wa mchujo.
Caner Erkin wa Uturuki (kushoto) akipambana na Luciano Narsingh wa Uholanzi usiku huu katika mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2016. 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii