Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2017

CHELSEA YAIKOMALIA LIVERPOOL ANFIELD

Picha
Willian akishangilia baada ya kufunga goli pekee la Chelsea kwenye mchezo wa ligi kuu England dhidi ya Liverpool  Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuibuka na alama moja ikiwa ugenini dhidi ya

PROFESA KAPUYA ATUA YANGA, AKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU

Picha
WAZIRI wa zamani wa Michezo nchini, Profesa Juma Othman Kapuya leo amevunja mwiko na kuzuru makao makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani mjini Dar es Salaam. Kapuya ambaye ni mpenzi na mwanachama wa klabu ya

TFF WAKANA TUHUMA ZA UFISADI, WAPANGA KUWACHUKULIA HATUA WANAOENEZA

Picha
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepanga kuwafungulia mashataka watu waliosambaza ujumbe ambao sio wa kweli kwenye mitandao ya kijamii kufuatia taarifa walizokuwa wanazisambaza zikidai kuwa shirikisho hilo limeongeza posho za

MESSI ASAINI MKATABA MPYA BARCA HADI 2021

Picha
KLABU ya  Barcelona  imekubali kumpa mkataba mpya nyota wake,  Lionel Messi  hadi mwaka 2021 na sasa wanajiandaa kumpa mkataba wa

DELE ALLI ATUA MIKONONI MWA MENDE'S

Picha
Dele Alli kubadili wakala wake mwakani Jorge Mendes yupo mbioni kukamilisha saini ya Dele Alli tayari kuwa wakala wake