Karibu upate habari za michezo ya aina zote kwa haraka na uhakika. Utapata habari za soka, mpira wa kikapu, Tennis, mpira wa pete, masumbwi, mashindano ya magari, riadha na michezo mingine. Hapa utapata matokeo ya mechi mbalimbali, taarifa za wachezaji na timu zao.
CHELSEA YAIKOMALIA LIVERPOOL ANFIELD
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Willian akishangilia baada ya kufunga goli pekee la Chelsea kwenye mchezo wa ligi kuu England dhidi ya Liverpool
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuibuka na alama moja ikiwa ugenini dhidi ya
Liverpool. Sare hiyo imepatikana kunako dakika za usiku (85) kwa shuti kali lililowekwa wavuni na Willian ambaye alitokea benchi na kucheza sekunde 144 za ushindi.
Willian amefanikiwa kusawazisha na kufanya sare ya 1-1 mbele ya Liverpool, ambao walitangulia kwa goli la Mo Salah dakika ya 65.
Man of the match - Mo Salah
Mohamed Salah akionesha ishara ya kushangilia baada ya kuipatia Liverpool goli la kuongoza dk 65
Salah, ndiye mfungaji anayeongoza kwa sasa EPL baada ya leo kutimiza mabao 10 akiifunga timu yake ya zamani Chelsea
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha Sky kimeripoti
Ikiwa leo ni Septemba 21, 2016 magazeti ya leo yamekuja na habari kadha wa kadha ikiwemo ile ya Ajali mbaya, mwamuzi kiboko apewa Yanga vs Simba na kwenye burudani Alikiba Helikopta Diamond
Katika hali ya kushangaza na isiyo ya kawaida imetokea tena katika ulimwengu wa soka duniani baada ya timu ile ambayo katika ligi kuu nchini kwao kushikilia mkia ikitarajiwa kushuka lakini ndio inayofanya vizuri katika michuano ya UEFA
Maoni
Chapisha Maoni