Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2015

JUVE SASA USO KWA USO NA BARCA

Picha
Juventus watakutana na Barcelona katika fainali ya michuano ya UEFA baada ya goli la Alvaro Morata hapo jana kuwapeleka mbele kwa jumla ya magoli 3-2 ukiwa ni ushindi dhidi ya Real Madrid ambao walikuwa wenyeji pale Bernabeu.

REAL MADRID KUWAVAA JUVENTUS HII LEO UEFA (PICHA)

Picha
Ni katika mtanange mkali utakao choma nyasi za Santiago Bernabeu hii leo13Mei 2015 majira ya 9:45 usiku ambapo wenyeji Real Madrid watakuwa wanawakaribisha (vibibi vya Turin) Juventus katika mchezo wa marudiano wa nusu