Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2015

TANZANIA KWENDA OLIMPIKI-GOFU

Picha
Chama cha gofu nchini hapa kimetoa kalenda ya mwaka ya 2015 ya michezo ikionesha michuano mbalimbali ikiwemo ya Afrika ya Mashariki Kanda ya 5, ambayo itakuwa ni sehemu ya kufuzu kucheza Olimpiki mwakani mjini Rio de Janeiro, Brazil.