TANZANIA KWENDA OLIMPIKI-GOFU

Kituo cha mchezo wa Golf kilichopo Arusha
Gofu na raga itakuwa ni sehemu ya michezo
itakayoshindaniwa katika Olimpiki ya mwakani na TGU baada ya
kuidhinishwa na kamati ya Olimpiki duniani (IOC) kama sehemu ya michezo
itakayoshindaniwa.


Baadhi ya walimu wa mchezo wa golfu nchini
Kabla ya kwenda Kigali, TGU inategemewa
kuandaa hafla ya kuchangisha fedha mwishoni mwa mwezi wa tatu mjini
Arusha, kaskazini mwa Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya timu ya taifa.
Timu ya mchezo wa golfu nchini ya mwaka 2013 wakiwa na walimu wao
Uchangishaji fedha pia utafanyika baade kati kati ya mwaka huu
Maoni
Chapisha Maoni